Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha
026

Ash-Shuaraa 26:91 وبرزت الجحيم للغاوين ٩١

26:91
وَبُرِّزَتِ
ٱلۡجَحِيمُ
لِلۡغَاوِينَ
٩١
Na Jahannamu itadhihirishwa kwa wapotovu. 1
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis

Na Moto utaonyeshwa waziwazi kwa makafiri ambao walipotea njia ya uongofu na wakayafanyia ujasiri yaliyoharamishwa na Mwenyezi Mungu na wakawakanusha Mitume Wake.
Na Moto utaonyeshwa waziwazi kwa makafiri ambao walipotea njia ya uongofu na wakayafanyia ujasiri yaliyoharamishwa na Mwenyezi Mungu na wakawakanusha …
Zaidi Tafsir

Soma Maudhui Yanayohusiana

Sura 26, Ukurasa 371, Juzuu 19

69. Na wasomee khabari za Ibrahim. 70. Alipo mwambia baba yake na kaumu yake: Mnaabudu nini? 71. Wakasema: Tunaabudu masanamu, daima tunayanyenyekea. 72. Akasema: Je! Yanakusikieni mnapo yaita? 73. Au yanakufaeni, au yanakudhuruni? 74. Wakasema: Bali tumewakuta baba zetu wakifanya hivyo hivyo. 75. Je! Mmewaona hawa mnao waabudu- 76. Nyinyi na baba zenu wa zamani? 77. Kwani hakika hao ni adui zangu, isipo kuwa Mola Mlezi wa walimwengu wote. 78. Ambaye ndiye aliye niumba, na Yeye ndiye ananiongoa, 79. Na ambaye ndiye ananilisha na kuninywesha. 80. Na ninapo ugua ni Yeye ndiye anaye niponesha. 81. Na ambaye atanifisha, na kisha atanihuisha. 82. Na ambaye ndiye ninaye mtumai kunisamehe makosa yangu Siku ya Malipo. 83. Mola wangu Mlezi! Nitunukie hukumu na uniunganishe na watendao mema. 84. Na unijaalie nitajwe kwa wema na watu watakao kuja baadaye. 85. Na unijaalie katika warithi wa Bustani za neema. 86. Na umsamehe baba yangu, kwani hakika alikuwa miongoni mwa wapotovu. 87. Wala usinihizi Siku watapo fufuliwa. 88. Siku ambayo kwamba mali hayato faa kitu wala wana. 89. Isipo kuwa mwenye kumjia Mwenyezi Mungu na moyo safi. 90. Na Pepo itasogezwa kwa wachamngu. 91. Na Jahannamu itadhihirishwa kwa wapotovu. 92. Na wataambiwa: Wako wapi mlio kuwa mkiwaabudu 93. Badala ya Mwenyezi Mungu? Je! Wanakusaidieni, au wanajisaidia wenyewe? 94. Basi watavurumizwa humo wao na hao wakosefu, 95. Na majeshi ya Ibilisi yote. 96. Watasema, na hali ya kuwa wanazozana humo: 97. Wallahi! Kwa yakini tulikuwa katika upotovu ulio dhaahiri, 98. Tulipo kufanyeni ni sawa na Mola Mlezi wa walimwengu wote. 99. Tulipo kufanyeni ni sawa na Mola Mlezi wa walimwengu wote. 100. Basi hatuna waombezi. 101. Wala rafiki wa dhati. 102. Laiti tungeli pata kurejea tena tungeli kuwa katika Waumini. 103. Hakika katika haya ipo Ishara, lakini wengi wao hawakuwa wenye kuamini. 104. Na hakika Mola wako Mlezi ndiye Mwenye nguvu Mwenye kurehemu.

- Swahili Translation - Ali Muhsin Al-Barwani

Maelezo na Tafakari

Hakuna tafakari zilizokaguliwa kwa aya hii

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia