Ash-Shuaraa 26:94 فكبكبوا فيها هم والغاوون ٩٤
فَكُبۡكِبُواْ
فِيهَا
هُمۡ
وَٱلۡغَاوُۥنَ
٩٤
Basi watavurumizwa humo wao na hao wakosefu, 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hapo watakusanywa na watupwe kwenye Jahanamu kwa vichwa vyao, mara baada ya nyingine mpaka watakapotulia humo: wao, wale waliowapoteza