Ash-Shuaraa 26:97 تالله ان كنا لفي ضلال مبين ٩٧
تَٱللَّهِ
إِن
كُنَّا
لَفِي
ضَلَٰلٖ
مُّبِينٍ
٩٧
Wallahi! Kwa yakini tulikuwa katika upotovu ulio dhaahiri, 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
«Tunaapa kwa Mwenyezi Mungu kwamba sisi, duniani, tulikuwa kwenye upotevu ulio waziwazi, haukuwa umefichika,