Soma na usikilize Sura At-Taghaabun pamoja na tarjuma yake, tafsir, usomaji wa sauti, maana ya neno kwa neno, na unukuzi pia. Tarjuma ya Ali Muhsin Al-Barwani.
Kinamtakasa Mwenyezi Mungu kila kilichomo katika mbingu na katika ardhi. Ufalme ni wake, na sifa njema ni zake. Na Yeye ni Mwenye uweza juu ya kila kitu. 1