At-Takaathur 102:3 كلا سوف تعلمون ٣
كـَلَّا
سَوۡفَ
تَعۡلَمُونَ
٣
Sivyo hivyo! Mtakuja jua! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Siyo namna hii inatakiwa iwapumbaze kushindana kwa wingi wa mali. Itawadhihirikia kuwa Nyumba ya Akhera ni bora kwenu.