At-Takwyr 81:23 ولقد راه بالافق المبين ٢٣
وَلَقَدۡ
رَءَاهُ
بِٱلۡأُفُقِ
ٱلۡمُبِينِ
٢٣
Na hakika yeye alimwona kwenye upeo wa macho ulio safi. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na kwa hakika Muhammad alimuona Jibrili anayemjia na utume katika pambizo kubwa.