At-Takwyr 81:28 لمن شاء منكم ان يستقيم ٢٨
لِمَن
شَآءَ
مِنكُمۡ
أَن
يَسۡتَقِيمَ
٢٨
Kwa yule miongoni mwenu anaye taka kwenda sawa. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kwa atakaye, kati yenu, kulingana juu ya haki na Imani.