At-Takwyr 81:5 واذا الوحوش حشرت ٥
وَإِذَا
ٱلۡوُحُوشُ
حُشِرَتۡ
٥
Na wanyama wa mwituni wakakusanywa! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na pindi wanyama mwitu watakapokusanywa na kutangamanishwa, ili Mwenyezi Mungu Awape nafasi ya kulipizana wao kwa wao.