At-Tawba 9:35 يوم يحمى عليها في نار جهنم فتكوى بها جباههم وجنوبهم وظهورهم هاذا ما كنزتم لانفسكم فذوقوا ما كنتم تكنزون ٣٥
يَوۡمَ
يُحۡمَىٰ
عَلَيۡهَا
فِي
نَارِ
جَهَنَّمَ
فَتُكۡوَىٰ
بِهَا
جِبَاهُهُمۡ
وَجُنُوبُهُمۡ
وَظُهُورُهُمۡۖ
هَٰذَا
مَا
كَنَزۡتُمۡ
لِأَنفُسِكُمۡ
فَذُوقُواْ
مَا
كُنتُمۡ
تَكۡنِزُونَ
٣٥
Siku zitapo tiwa moto katika Moto wa Jahannamu, na kwazo vikachomwa vipaji vya nyuso zao na mbavu zao na migongo yao, wakaambiwa: Haya ndiyo mlio jilimbikia nafsi zenu, basi onjeni mliyo kuwa mkilimbika. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Siku ya Kiyama yatawekwa mapande ya dhahabu na fedha kwenye Moto, na yataposhika moto sana, watachomwa nayo, hao wenyewe, nyuso zao, mbavu zao na migongo yao. Na wataambiwa kwa kuwaumbua, «Haya ndiyo mali yenu mliyoyakumbatia na mkazuia, katika mali hayo, haki za Mwenyezi Mungu. Basi onjeni adhabu i…
Siku ya Kiyama yatawekwa mapande ya dhahabu na fedha kwenye Moto, na yataposhika moto sana, watachomwa nayo, hao wenyewe, nyuso zao, mbavu zao na migo…