At-Tawba 9:78 الم يعلموا ان الله يعلم سرهم ونجواهم وان الله علام الغيوب ٧٨
أَلَمۡ
يَعۡلَمُوٓاْ
أَنَّ
ٱللَّهَ
يَعۡلَمُ
سِرَّهُمۡ
وَنَجۡوَىٰهُمۡ
وَأَنَّ
ٱللَّهَ
عَلَّٰمُ
ٱلۡغُيُوبِ
٧٨
Je, hawajui kwamba Mwenyezi Mungu anajua siri zao na minong'ono yao, na kwamba Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuyajua sana ya ghaibu? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kwani hawakujua wanafiki hawa kwamba Mwenyezi Mungu Anayajua wanayoyaficha ndani ya nafsi zao na yale wanayoyazungumza kwenye mabaraza yao ya vitimbi na njama na kwamba Mwenyezi Mungu ni Mjuzi sana wa yaliyofichika yote? Basi Atawalipa kwa matendo yao ambayo Amewahifadhia na kuwadhibitia.
Kwani hawakujua wanafiki hawa kwamba Mwenyezi Mungu Anayajua wanayoyaficha ndani ya nafsi zao na yale wanayoyazungumza kwenye mabaraza yao ya vitimbi …