At-Tur 52:17 ان المتقين في جنات ونعيم ١٧
إِنَّ
ٱلۡمُتَّقِينَ
فِي
جَنَّٰتٖ
وَنَعِيمٖ
١٧
Hakika wachamngu watakuwa katika Mabustani na neema, 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakika wachamungu watakuwa kwenye mabustani ya Pepo na neema kubwa.