At-Tur 52:26 قالوا انا كنا قبل في اهلنا مشفقين ٢٦
قَالُوٓاْ
إِنَّا
كُنَّا
قَبۡلُ
فِيٓ
أَهۡلِنَا
مُشۡفِقِينَ
٢٦
Waseme: Tulikuwa zamani pamoja na ahali zetu tukiogopa; 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Watasema, «Sisi tulikuwa kabla, huko duniani, na sisi tuko baina ya watu wetu, tunamuogopa Mola wetu, tuna hadhari na adhabu Yake na mateso yake Siku ya Kiyama.
Watasema, «Sisi tulikuwa kabla, huko duniani, na sisi tuko baina ya watu wetu, tunamuogopa Mola wetu, tuna hadhari na adhabu Yake na mateso yake Siku …