At-Tur 52:34 فلياتوا بحديث مثله ان كانوا صادقين ٣٤
فَلۡيَأۡتُواْ
بِحَدِيثٖ
مِّثۡلِهِۦٓ
إِن
كَانُواْ
صَٰدِقِينَ
٣٤
Basi nawalete masimulizi kama haya ikiwa wao wanasema kweli. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Basi na walete maneno mfano wa Qur’ani iwapo wao ni wakweli katika madai yao kuwa Muhammad Ameibuni.