At-Tur 52:36 ام خلقوا السماوات والارض بل لا يوقنون ٣٦
أَمۡ
خَلَقُواْ
ٱلسَّمَٰوَٰتِ
وَٱلۡأَرۡضَۚ
بَل
لَّا
يُوقِنُونَ
٣٦
Au wao wameziumba mbingu na ardhi? Bali hawana na yakini. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Au wao wameumba mbingu na ardhi kwa utengezaji huu wa kipekee? Bali wao hawaamini adhabu ya Mwenyezi Mungu, kwa kuwa wao ni washirikina.