At-Tur 52:37 ام عندهم خزاين ربك ام هم المصيطرون ٣٧
أَمۡ
عِندَهُمۡ
خَزَآئِنُ
رَبِّكَ
أَمۡ
هُمُ
ٱلۡمُصَۜيۡطِرُونَ
٣٧
Au wanazo khazina za Mola wako Mlezi au wao ndio wenye madaraka? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Au wanazo wao hazina za Mola wako wanazitumia? Au wao ni majebari wanaowagandamiza viumbe vya Mwenyezi Mungu kwa kuwatendesha nguvu na kuwanyanyasa? Mambo si hivyo, bali wao ndio walemevu walio madhaifu.
Au wanazo wao hazina za Mola wako wanazitumia? Au wao ni majebari wanaowagandamiza viumbe vya Mwenyezi Mungu kwa kuwatendesha nguvu na kuwanyanyasa? M…