At-Tur 52:44 وان يروا كسفا من السماء ساقطا يقولوا سحاب مركوم ٤٤
وَإِن
يَرَوۡاْ
كِسۡفٗا
مِّنَ
ٱلسَّمَآءِ
سَاقِطٗا
يَقُولُواْ
سَحَابٞ
مَّرۡكُومٞ
٤٤
Na hata wange ona pande linatoka mbinguni linaanguka wange sema: Ni mawingu yaliyo bebana. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na wakikiona hawa washirikina kipande cha mbingu kinawaangukia, kikiwa ni adhabu kwao, hawataacha yale waliyo nayo ya ukanushaji, na watasema, «Haya ni mawingu yamekusanyika na kupandana.»
Na wakikiona hawa washirikina kipande cha mbingu kinawaangukia, kikiwa ni adhabu kwao, hawataacha yale waliyo nayo ya ukanushaji, na watasema, «Haya n…