At-Tur 52:7 ان عذاب ربك لواقع ٧
إِنَّ
عَذَابَ
رَبِّكَ
لَوَٰقِعٞ
٧
Hakika adhabu ya Mola wako Mlezi hapana shaka itatokea. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakika adhabu ya Mola Wako, ewe Mtume, ni yenye kuwashukia makafiri.