At-Tur 52:9 يوم تمور السماء مورا ٩
يَوۡمَ
تَمُورُ
ٱلسَّمَآءُ
مَوۡرٗا
٩
Siku zitakapo tikisika mbingu kwa mtikiso! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Siku ya mbingu kutetemeka mpango wake kuharibika na pande zake kusukikasukika, na hapo ni wakati wa mwisho wa dunia,