At-Tyn 95:3 وهاذا البلد الامين ٣
وَهَٰذَا
ٱلۡبَلَدِ
ٱلۡأَمِينِ
٣
Na kwa mji huu wenye amani! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na Anaapa kwa Mji huu wa amani, usiokuwa na mambo ya kutisha. Nao ni mji wa Makkah, chimbuko la Uislamu.