At-Tyn 95:6 الا الذين امنوا وعملوا الصالحات فلهم اجر غير ممنون ٦
إِلَّا
ٱلَّذِينَ
ءَامَنُواْ
وَعَمِلُواْ
ٱلصَّٰلِحَٰتِ
فَلَهُمۡ
أَجۡرٌ
غَيۡرُ
مَمۡنُونٖ
٦
Lakini wale walio amini na wakatenda mema, hao watapata ujira usio kwisha. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Isipokuwa wale walioamini na wakafanya amali njema; wao watakuwa na malipo makubwa yasiyokatika wala kupungua.