At-Tyn 95:7 فما يكذبك بعد بالدين ٧
فَمَا
يُكَذِّبُكَ
بَعۡدُ
بِٱلدِّينِ
٧
Basi ni kipi baadaye kitacho kukukadhibishia malipo? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Ni lipi linalokupelekea wewe, ewe binadamu, kukanusha kufufuliwa na kulipwa, hali ya kuwa kuna dalili wazi kwamba Mwenyezi Mungu Ana uweza wa kufanya hayo?
Ni lipi linalokupelekea wewe, ewe binadamu, kukanusha kufufuliwa na kulipwa, hali ya kuwa kuna dalili wazi kwamba Mwenyezi Mungu Ana uweza wa kufanya …