Az-Zukhruf 43:30 ولما جاءهم الحق قالوا هاذا سحر وانا به كافرون ٣٠
وَلَمَّا
جَآءَهُمُ
ٱلۡحَقُّ
قَالُواْ
هَٰذَا
سِحۡرٞ
وَإِنَّا
بِهِۦ
كَٰفِرُونَ
٣٠
Na ilipo wafikia Haki wakasema: Huu ni uchawi, na sisi hakika tunaukataa. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na ilipowajia Qur’ani kutoka kwa Mwenyezi Mungu walisema, «Hii uliyotuletea ni uchawi wa kuturogea nao, na si wahyi unaotoka kwa Mwenyezi Mungu, na sisi tunaukanusha.”
Na ilipowajia Qur’ani kutoka kwa Mwenyezi Mungu walisema, «Hii uliyotuletea ni uchawi wa kuturogea nao, na si wahyi unaotoka kwa Mwenyezi Mungu, na si…