Az-Zukhruf 43:34 ولبيوتهم ابوابا وسررا عليها يتكيون ٣٤
وَلِبُيُوتِهِمۡ
أَبۡوَٰبٗا
وَسُرُرًا
عَلَيۡهَا
يَتَّكِـُٔونَ
٣٤
Na milango ya nyumba zao na vitanda wanavyo egemea juu yake, 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na tukazifanya nyumba zao ziwe na milango ya fedha, tukawafanyia vitanda ambavyo juu yake wanakaa na kutegemea