Az-Zukhruf 43:36 ومن يعش عن ذكر الرحمان نقيض له شيطانا فهو له قرين ٣٦
وَمَن
يَعۡشُ
عَن
ذِكۡرِ
ٱلرَّحۡمَٰنِ
نُقَيِّضۡ
لَهُۥ
شَيۡطَٰنٗا
فَهُوَ
لَهُۥ
قَرِينٞ
٣٦
Anaye yafanyia upofu maneno ya Rahmani tunamwekea Shet'ani kuwa ndiye rafiki yake. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na mwenye kuupa mgongo utajo wa Mwingi wa Rehema, nao ni Qur’ani, asiogope mateso yaliyotajwa ndani yake na asijiongoze kwa uongofu wake, tutamwekea Shetani hapa duniani wa kumpoteza, ikiwa ni malipo yake ya kuupa mgongo kwake utajo wa Mwenyezi Mungu. Shetani huyo atakuwa na yeye wakati wote na kufu…
Na mwenye kuupa mgongo utajo wa Mwingi wa Rehema, nao ni Qur’ani, asiogope mateso yaliyotajwa ndani yake na asijiongoze kwa uongofu wake, tutamwekea S…