Az-Zukhruf 43:45 واسال من ارسلنا من قبلك من رسلنا اجعلنا من دون الرحمان الهة يعبدون ٤٥
وَسۡـَٔلۡ
مَنۡ
أَرۡسَلۡنَا
مِن
قَبۡلِكَ
مِن
رُّسُلِنَآ
أَجَعَلۡنَا
مِن
دُونِ
ٱلرَّحۡمَٰنِ
ءَالِهَةٗ
يُعۡبَدُونَ
٤٥
Na waulize Mitume wetu tulio watuma kabla yako: Je! Tulifanya miungu mingine iabudiwe badala ya Rah'mani? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na uwaulize, ewe Mtume, wafuasi wa wale tuliowatumiliza kabla yako miongoni mwa Mitume wetu na wabebaji sheria zao, «Je walikuja Mitume wao na ujumbe wa kuabudiwa asiyekuwa Mwenyezi Mungu?” Wao watakupasha habari kuwa hilo halikutukia, kwani Mitume wote walilingania kile ulichowaitia watu cha kumuab…
Na uwaulize, ewe Mtume, wafuasi wa wale tuliowatumiliza kabla yako miongoni mwa Mitume wetu na wabebaji sheria zao, «Je walikuja Mitume wao na ujumbe …