Az-Zukhruf 43:56 فجعلناهم سلفا ومثلا للاخرين ٥٦
فَجَعَلۡنَٰهُمۡ
سَلَفٗا
وَمَثَلٗا
لِّلۡأٓخِرِينَ
٥٦
Walipo tukasirisha tuliwapatiliza tukawazamisha wote! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Tukawafanya hao tuliowazamisha baharini kuwa ni mfano uliotangulia kwa anayefanya matendo kama yao katika wale watakaokuja baada yao kwa kustahiki adhabu, na ni mazingatio na mawaidha kwa watu wa nyuma.
Tukawafanya hao tuliowazamisha baharini kuwa ni mfano uliotangulia kwa anayefanya matendo kama yao katika wale watakaokuja baada yao kwa kustahiki adh…