Az-Zukhruf 43:60 ولو نشاء لجعلنا منكم ملايكة في الارض يخلفون ٦٠
وَلَوۡ
نَشَآءُ
لَجَعَلۡنَا
مِنكُم
مَّلَٰٓئِكَةٗ
فِي
ٱلۡأَرۡضِ
يَخۡلُفُونَ
٦٠
Na tungeli penda tungeli wafanyia miongoni mwenu Malaika katika ardhi wakifuatana. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na lau tungakiataka tungaliwajaalia badala yenu Malaika , hawa baada ya wengine, badala ya wanadamu.