Az-Zukhruf 43:62 ولا يصدنكم الشيطان انه لكم عدو مبين ٦٢
وَلَا
يَصُدَّنَّكُمُ
ٱلشَّيۡطَٰنُۖ
إِنَّهُۥ
لَكُمۡ
عَدُوّٞ
مُّبِينٞ
٦٢
Wala asikuzuilieni Shet'ani. Hakika yeye ni adui yenu wa dhaahiri. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na asiwazuie Shetani, kwa kutia kwake wasiwasi kwa watu, kunitii mimi katika yale ninayowaamrisha na ninayowakataza, kwani yeye ni adui kwenu ambaye uadui wake uko waziwazi.
Na asiwazuie Shetani, kwa kutia kwake wasiwasi kwa watu, kunitii mimi katika yale ninayowaamrisha na ninayowakataza, kwani yeye ni adui kwenu ambaye u…