Az-Zukhruf 43:66 هل ينظرون الا الساعة ان تاتيهم بغتة وهم لا يشعرون ٦٦
هَلۡ
يَنظُرُونَ
إِلَّا
ٱلسَّاعَةَ
أَن
تَأۡتِيَهُم
بَغۡتَةٗ
وَهُمۡ
لَا
يَشۡعُرُونَ
٦٦
Je! Nini wanangojea ila Saa iwajie kwa ghafla na wala wao hawatambui? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Je, kwani wana kutu chochote wanachokingojea watu wa makundi hayo waliotafautiana kuhusu Īsā isipokuwa ni kujiwa na Kiyama kwa ghafla na hali wao hawahisi wala hawatambui?
Je, kwani wana kutu chochote wanachokingojea watu wa makundi hayo waliotafautiana kuhusu Īsā isipokuwa ni kujiwa na Kiyama kwa ghafla na hali wao hawa…