Az-Zukhruf 43:68 يا عباد لا خوف عليكم اليوم ولا انتم تحزنون ٦٨
يَٰعِبَادِ
لَا
خَوۡفٌ
عَلَيۡكُمُ
ٱلۡيَوۡمَ
وَلَآ
أَنتُمۡ
تَحۡزَنُونَ
٦٨
Enyi waja wangu! Hamtakuwa na khofu siku hiyo, wala hamtahuzunika. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Wataambiwa hawa wachamungu, «Enyi waja wangu! Hamna khofu yoyote Leo ya kupata mateso yangu, wala nyinyi hamtahuzunika juu ya hadhi za kilimwengu mlizozikosa.”
Wataambiwa hawa wachamungu, «Enyi waja wangu! Hamna khofu yoyote Leo ya kupata mateso yangu, wala nyinyi hamtahuzunika juu ya hadhi za kilimwengu mliz…