Az-Zukhruf 43:74 ان المجرمين في عذاب جهنم خالدون ٧٤
إِنَّ
ٱلۡمُجۡرِمِينَ
فِي
عَذَابِ
جَهَنَّمَ
خَٰلِدُونَ
٧٤
Kwa hakika wakosefu watakaa katika adhabu ya Jahannamu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakika ya wale waliochuma dhambi kwa ukanushaji wao, ni wenye kukaa ndani ya adhabu ya Jahanamu.