Az-Zukhruf 43:75 لا يفتر عنهم وهم فيه مبلسون ٧٥
لَا
يُفَتَّرُ
عَنۡهُمۡ
وَهُمۡ
فِيهِ
مُبۡلِسُونَ
٧٥
Hawatapumzishwa nayo na humo watakata tamaa. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hawatasahilishiwa, na wao wakiwa ndani yake watakuwa ni wenye kukata tamaa na rehema ya Mwenyezi Mungu.