Az-Zukhruf 43:76 وما ظلمناهم ولاكن كانوا هم الظالمين ٧٦
وَمَا
ظَلَمۡنَٰهُمۡ
وَلَٰكِن
كَانُواْ
هُمُ
ٱلظَّٰلِمِينَ
٧٦
Wala Sisi hatukuwadhulumu, bali wao ndio walio kuwa madhaalimu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na hatukuwadhulumu wahalifu hawa kwa kuwaadhibu , isipokuwa ni wao wenyewe ndio waliojidhulumu nafsi zao kwa kushirikisha kwao na kukataa kuwa Mwenyezi Mungu Ndie Mola wa haki, Aliye Peke Yake, Asiye na Mshirika na kuacha kuwafuata Mitume wa Mola wao.
Na hatukuwadhulumu wahalifu hawa kwa kuwaadhibu , isipokuwa ni wao wenyewe ndio waliojidhulumu nafsi zao kwa kushirikisha kwao na kukataa kuwa Mwenyez…