Az-Zukhruf 43:78 لقد جيناكم بالحق ولاكن اكثركم للحق كارهون ٧٨
لَقَدۡ
جِئۡنَٰكُم
بِٱلۡحَقِّ
وَلَٰكِنَّ
أَكۡثَرَكُمۡ
لِلۡحَقِّ
كَٰرِهُونَ
٧٨
Kwa yakini tulikuleteeni Haki, lakini wengi katika nyinyi mlikuwa mnaichukia Haki. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kwa hakika, tumewaletea haki na kuibainisha kwenu, lakina wengi wenu mliichukia walipokuja nayo Mitume.