Az-Zukhruf 43:8 فاهلكنا اشد منهم بطشا ومضى مثل الاولين ٨
فَأَهۡلَكۡنَآ
أَشَدَّ
مِنۡهُم
بَطۡشٗا
وَمَضَىٰ
مَثَلُ
ٱلۡأَوَّلِينَ
٨
Na tuliwaangamiza walio kuwa na nguvu kushinda wao. Na mfano wa watu wa zamani umekwisha pita. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na yashapita mateso ya wa mwanzo kwa kuangamizwa kwa sababu ya ukanushaji wao, ujeuri wao na kuwacheza shere Mitume wao. Katika haya pana maliwazo kwa Nabii, rehema na amani zimshukie.
Na yashapita mateso ya wa mwanzo kwa kuangamizwa kwa sababu ya ukanushaji wao, ujeuri wao na kuwacheza shere Mitume wao. Katika haya pana maliwazo kwa…