Az-Zukhruf 43:82 سبحان رب السماوات والارض رب العرش عما يصفون ٨٢
سُبۡحَٰنَ
رَبِّ
ٱلسَّمَٰوَٰتِ
وَٱلۡأَرۡضِ
رَبِّ
ٱلۡعَرۡشِ
عَمَّا
يَصِفُونَ
٨٢
Ametakasika Mola Mlezi wa mbingu na ardhi, Mola Mlezi wa A'rshi, na hayo wanayo msifia. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kuepukana na kila sifa ya upungufu na kutakasika ni kwa Mola wa mbingu na ardhi, Mola wa ’Arsh kubwa, na kuwa mbali na urongo na uzushi wanaomzulia washirikina ya kuwa Mwenyezi Mungu Ana mwana na mengineyo ya ubatilifu wanayodai.
Kuepukana na kila sifa ya upungufu na kutakasika ni kwa Mola wa mbingu na ardhi, Mola wa ’Arsh kubwa, na kuwa mbali na urongo na uzushi wanaomzulia wa…