Az-Zukhruf 43:86 ولا يملك الذين يدعون من دونه الشفاعة الا من شهد بالحق وهم يعلمون ٨٦
وَلَا
يَمۡلِكُ
ٱلَّذِينَ
يَدۡعُونَ
مِن
دُونِهِ
ٱلشَّفَٰعَةَ
إِلَّا
مَن
شَهِدَ
بِٱلۡحَقِّ
وَهُمۡ
يَعۡلَمُونَ
٨٦
Wala hao mnao waomba badala yake Yeye hawana uweza wa kumwombea mtu, isipo kuwa anaye shuhudia kwa haki, na wao wanajua. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na hawamiliki, wale ambao washirikina wanawaabudu, uwezo wa kumuombea yoyote mbele ya Mwenyezi Mungu isipokuwa wale waliyoishuhudia haki na wakakubali upweke wa Mwenyezi Mungu na unabii wa Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, na wakawa na yakini ya uhakika wa kile walichokikubali n…
Na hawamiliki, wale ambao washirikina wanawaabudu, uwezo wa kumuombea yoyote mbele ya Mwenyezi Mungu isipokuwa wale waliyoishuhudia haki na wakakubali…