Az-Zumar 39:28 قرانا عربيا غير ذي عوج لعلهم يتقون ٢٨
قُرۡءَانًا
عَرَبِيًّا
غَيۡرَ
ذِي
عِوَجٖ
لَّعَلَّهُمۡ
يَتَّقُونَ
٢٨
Qur'ani ya Kiarabu isiyo na upogo, ili wamche Mungu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na tumeijaalia hii Qur’ani ni kwa lugha ya Kiarabu, yenye matamshi yaliyofunuka wazi na yenye maana mepesi yasiyo na uchanganyifu wala upotofu, huenda wao wakamcha Mwenyezi Mungu kwa kufuata amri Zake na kuepuka makatazo yake.
Na tumeijaalia hii Qur’ani ni kwa lugha ya Kiarabu, yenye matamshi yaliyofunuka wazi na yenye maana mepesi yasiyo na uchanganyifu wala upotofu, huenda…