Az-Zumar 39:34 لهم ما يشاءون عند ربهم ذالك جزاء المحسنين ٣٤
لَهُم
مَّا
يَشَآءُونَ
عِندَ
رَبِّهِمۡۚ
ذَٰلِكَ
جَزَآءُ
ٱلۡمُحۡسِنِينَ
٣٤
Watapata watakacho taka kwa Mola wao Mlezi. Hayo ndiyo malipo ya watendao mema. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Wao watayapata wanayoyataka kwa Mola wao miongoni mwa aina ya vitu vya ladha na matamanio. Hayo ndiyo malipo ya anayemtii Mola wake vile inavyopasa kutiiwa na akamuabudu vile inavyopasa kuabudiwa.
Wao watayapata wanayoyataka kwa Mola wao miongoni mwa aina ya vitu vya ladha na matamanio. Hayo ndiyo malipo ya anayemtii Mola wake vile inavyopasa ku…