Az-Zumar 39:40 من ياتيه عذاب يخزيه ويحل عليه عذاب مقيم ٤٠
مَن
يَأۡتِيهِ
عَذَابٞ
يُخۡزِيهِ
وَيَحِلُّ
عَلَيۡهِ
عَذَابٞ
مُّقِيمٌ
٤٠
Ni nani itakaye mfikia adhabu ya kumhizi, na itakaye mshukia adhabu ya daima. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na mtajua ni yupi atakayejiwa na adhabu yenye kumfanya mnyonge katika maisha ya ulimwenguni na atakayeshukiwa na adhabu ya daima kesho Akhera, haitamuepuka wala haitamuondokea.
Na mtajua ni yupi atakayejiwa na adhabu yenye kumfanya mnyonge katika maisha ya ulimwenguni na atakayeshukiwa na adhabu ya daima kesho Akhera, haitamu…