Az-Zumar 39:50 قد قالها الذين من قبلهم فما اغنى عنهم ما كانوا يكسبون ٥٠
قَدۡ
قَالَهَا
ٱلَّذِينَ
مِن
قَبۡلِهِمۡ
فَمَآ
أَغۡنَىٰ
عَنۡهُم
مَّا
كَانُواْ
يَكۡسِبُونَ
٥٠
Waliyasema haya waliyo kuwa kabla yao, lakini hayakuwafaa waliyo kuwa wakiyachuma. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kauli kama hii ilisemwa na ummah waliopita wenye kukanusha, na yasiwafalie kitu, ilipowajia adhabu, yale mali ambayo walikuwa wakiyachuma na watoto.