Az-Zumar 39:51 فاصابهم سييات ما كسبوا والذين ظلموا من هاولاء سيصيبهم سييات ما كسبوا وما هم بمعجزين ٥١
فَأَصَابَهُمۡ
سَيِّـَٔاتُ
مَا
كَسَبُواْۚ
وَٱلَّذِينَ
ظَلَمُواْ
مِنۡ
هَٰٓؤُلَآءِ
سَيُصِيبُهُمۡ
سَيِّـَٔاتُ
مَا
كَسَبُواْ
وَمَا
هُم
بِمُعۡجِزِينَ
٥١
Basi ukawasibu uovu wa waliyo yachuma. Na wale walio dhulumu miongoni mwa hawa utawasibu uovu wa waliyo yachuma vile vile. Nao si wenye kushinda. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Yakawapata wale waliyosema kauli hii, miongoni mwa ummah waliopita, mateso ya matendo mabaya waliyoyachuma, hivyo basi wakaharakishiwa laana katika maisha ya duniani. Na wale waliojidhulumu nafsi zao katika watu wako, ewe Mtume, na wakasema kauli hii, yatawapata mateso ya yale mabaya waliyoyachuma k…
Yakawapata wale waliyosema kauli hii, miongoni mwa ummah waliopita, mateso ya matendo mabaya waliyoyachuma, hivyo basi wakaharakishiwa laana katika ma…