Az-Zumar 39:52 اولم يعلموا ان الله يبسط الرزق لمن يشاء ويقدر ان في ذالك لايات لقوم يومنون ٥٢
أَوَلَمۡ
يَعۡلَمُوٓاْ
أَنَّ
ٱللَّهَ
يَبۡسُطُ
ٱلرِّزۡقَ
لِمَن
يَشَآءُ
وَيَقۡدِرُۚ
إِنَّ
فِي
ذَٰلِكَ
لَأٓيَٰتٖ
لِّقَوۡمٖ
يُؤۡمِنُونَ
٥٢
Kwani wao hawajui kwamba Mwenyezi Mungu humkunjulia riziki amtakaye na akamkadiria? Hakika katika haya bila ya shaka zipo Ishara kwa watu wanao amini. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kwani hao hawajui kwamba riziki ya Mwenyezi Mungu kwa binadamu haimaanishi kuwa aliyeruzukiwa ana hali njema na kwamba Mwenyezi Mungu Ana hekima nyingi, Anamkunjulia riziki Anayemtaka katika waja Wake, awe mwema au muovu, na Anambania Anayemtaka katika wao? Hakika katika kukunjua na kubana riziki ku…
Kwani hao hawajui kwamba riziki ya Mwenyezi Mungu kwa binadamu haimaanishi kuwa aliyeruzukiwa ana hali njema na kwamba Mwenyezi Mungu Ana hekima nying…