Az-Zumar 39:57 او تقول لو ان الله هداني لكنت من المتقين ٥٧
أَوۡ
تَقُولَ
لَوۡ
أَنَّ
ٱللَّهَ
هَدَىٰنِي
لَكُنتُ
مِنَ
ٱلۡمُتَّقِينَ
٥٧
Au ikasema: Ingeli kuwa Mwenyezi Mungu ameniongoa, bila ya shaka ningeli kuwa miongoni mwa wenye kumchamngu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
«Au ikasema, ‘Lau Mwenyezi Mungu Angaliniongoza kwenye Dini Yake ningalikuwa ni miongoni mwa wenye kujikinga na ushirikina na maasia.’»