Az-Zumar 39:59 بلى قد جاءتك اياتي فكذبت بها واستكبرت وكنت من الكافرين ٥٩
بَلَىٰ
قَدۡ
جَآءَتۡكَ
ءَايَٰتِي
فَكَذَّبۡتَ
بِهَا
وَٱسۡتَكۡبَرۡتَ
وَكُنتَ
مِنَ
ٱلۡكَٰفِرِينَ
٥٩
Wapi! Bila ya shaka zilikujia Ishara zangu, nawe ukazikadhibisha, na ukajivuna, na ukawa miongoni mwa makafiri! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Maneno siyo kama unavyosema, Kwa hakika aya zangu zilizo wazi zenye kuitolea ushahidi haki zilikujia ukazikanusha, ukazifanyia kiburi usizikubali na usizifuate na ukawa ni miongoni mwa wenye kumkanusha Mwenyezi Mungu na Mitume Wake.
Maneno siyo kama unavyosema, Kwa hakika aya zangu zilizo wazi zenye kuitolea ushahidi haki zilikujia ukazikanusha, ukazifanyia kiburi usizikubali na u…