Az-Zumar 39:69 واشرقت الارض بنور ربها ووضع الكتاب وجيء بالنبيين والشهداء وقضي بينهم بالحق وهم لا يظلمون ٦٩
وَأَشۡرَقَتِ
ٱلۡأَرۡضُ
بِنُورِ
رَبِّهَا
وَوُضِعَ
ٱلۡكِتَٰبُ
وَجِاْيٓءَ
بِٱلنَّبِيِّـۧنَ
وَٱلشُّهَدَآءِ
وَقُضِيَ
بَيۡنَهُم
بِٱلۡحَقِّ
وَهُمۡ
لَا
يُظۡلَمُونَ
٦٩
Na ardhi itang'ara kwa Nuru ya Mola wake Mlezi, na Kitabu kitawekwa, na wataletwa Manabii na mashahidi, na patahukumiwa baina yao kwa haki, wala hawatadhulumiwa. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na ardhi itatoa mwangaza Siku ya Kiyama, Atakapo kujitokeza Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka na kuwa juu, ili kutoa hukumu, na hapo Malaika wautandaze ukurasa wa kila mtu, na Mitume waletwe na mashahidi wa kila ummah, ili Mwenyezi Mungu Awaulize manabii kuhusu ufikishaji ujumbe kwa ummah wao na majibu wa…
Na ardhi itatoa mwangaza Siku ya Kiyama, Atakapo kujitokeza Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka na kuwa juu, ili kutoa hukumu, na hapo Malaika wautandaze ukur…