Na alipo sema Ibrahim: Ee Mola wangu Mlezi! Ufanye huu uwe mji wa amani, na uwaruzuku watu wake matunda, wale wanao muamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho. Akasema: Na mwenye kukufuru pia nitamstarehesha kidogo, kisha nitamsukumiza kwenye adhabu ya Moto, napo ni pahala pabaya mno pa kurejea. 1
Maelezo
These are alternative ways of expressing this name in Arabic. There is variation in the way the word is written in the various codices and surahs, and while most readings pronounce it consistently as Ibrāhīm, some narrations pronounce it as Ibrāhām at specific junctures.