Fatir 35:36 والذين كفروا لهم نار جهنم لا يقضى عليهم فيموتوا ولا يخفف عنهم من عذابها كذالك نجزي كل كفور ٣٦
وَٱلَّذِينَ
كَفَرُواْ
لَهُمۡ
نَارُ
جَهَنَّمَ
لَا
يُقۡضَىٰ
عَلَيۡهِمۡ
فَيَمُوتُواْ
وَلَا
يُخَفَّفُ
عَنۡهُم
مِّنۡ
عَذَابِهَاۚ
كَذَٰلِكَ
نَجۡزِي
كُلَّ
كَفُورٖ
٣٦
Na walio kufuru watakuwa na Moto wa Jahannamu, hawahukumiwi wakafa, wala hawatapunguziwa adhabu yake. Hivyo ndivyo tunavyo mlipa kila mwenye kuzidi ukafiri. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na wale waliomkanusha Mwenyezi Mungu na Mtume Wake, watakuwa na Moto wa Jahanamu uliowashwa. Hakutatolewa uamuzi juu yao kuwa wafe wakapata kufa na kupumzika, wala hawatapunguziwa adhabu yake. Mfano wa malipo hayo, Mwenyezi Mungu Anamlipa kila mwenye kuendelea kwenye ukafiri na kuwa na ukakamavu juu…
Na wale waliomkanusha Mwenyezi Mungu na Mtume Wake, watakuwa na Moto wa Jahanamu uliowashwa. Hakutatolewa uamuzi juu yao kuwa wafe wakapata kufa na ku…