Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha
25:34
الذين يحشرون على وجوههم الى جهنم اولايك شر مكانا واضل سبيلا ٣٤
ٱلَّذِينَ يُحْشَرُونَ عَلَىٰ وُجُوهِهِمْ إِلَىٰ جَهَنَّمَ أُو۟لَـٰٓئِكَ شَرٌّۭ مَّكَانًۭا وَأَضَلُّ سَبِيلًۭا ٣٤
ٱلَّذِينَ
يُحۡشَرُونَ
عَلَىٰ
وُجُوهِهِمۡ
إِلَىٰ
جَهَنَّمَ
أُوْلَٰٓئِكَ
شَرّٞ
مَّكَانٗا
وَأَضَلُّ
سَبِيلٗا
٣٤
Wale ambao watakao kusanywa na kubururwa kifudifudi mpaka kwenye Jahannamu, hao watakuwa na mahali pabaya, ndio wenye kuipotea sana njia. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadithi
Hao makafiri ndio watakaoburutwa kwa nyuso zao hadi kwenye Moto wa Jahanamu. Hao ndio wenye mashukio mabaya kabisa miongoni mwa watu na ndio walioko mbali kabisa na njia ya haki.