Ha-Mym-Sajdah 41:24 فان يصبروا فالنار مثوى لهم وان يستعتبوا فما هم من المعتبين ٢٤
فَإِن
يَصۡبِرُواْ
فَٱلنَّارُ
مَثۡوٗى
لَّهُمۡۖ
وَإِن
يَسۡتَعۡتِبُواْ
فَمَا
هُم
مِّنَ
ٱلۡمُعۡتَبِينَ
٢٤
Basi wakisubiri Moto ndio maskani yao. Na wakiomba radhi hawakubaliwi. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Wakivumilia adhabu, basi Moto ndio makazi yao, na wakiomba kurejea duniani waanze kufanya amali njema huko, hawatajibiwa ombi hilo wala hazitakubaliwa nyudhuru zao.
Wakivumilia adhabu, basi Moto ndio makazi yao, na wakiomba kurejea duniani waanze kufanya amali njema huko, hawatajibiwa ombi hilo wala hazitakubaliwa…